FANDOM

1,999,494 Pages

StarIconGreen
LangIcon
Sahani Yangu Bakuli Langu

This song is by Kwaya Kuu Kikosi Cha Injili and appears on the album Wanangu Njoo Mnateswa (2016).

Sahani yangu
Bakuli langu
Kikombe changu
Hivyo mtavitumia

Nilihubiri
Na kufundisha
Hata kuponya
Hayo mtayatumia

Nimeahidi
Kuwatumia
Kwa njia zote
Hayo yatatimia

Msizubae
Wakati kukomboa
Kwa njia zote
Mimi niwatumie

Credits

Written by:

Rev. Yemorini Mgallah, circa 1975. See Matthew 20:23.

External links