FANDOM

1,999,519 Pages

StarIconGreen
LangIcon
Ni Yeye Tu Anayejua

This song is by Kwaya Kuu Kikosi Cha Injili and appears on the album Wanangu Njoo Mnateswa (2016).

Ni yeye tu anayejua
Ni yeye tu mwokozi wangu
Atwambia tujilinde

Vijana, wazee
Ni yeye tu anayejua
Vijana, wazee
Ni yeye tu anayejua

Bwana Yesu ndiye Mwokozi
Ulimwengu wamchukia
Atwambia tujilinde

Na maovu ayachukia
Na maasi ayachukia
Atwambia tujilinde

Ni yeye huyo alichukiwa
Na sisi pia tutachukiwa:
Atwambia tujilinde

Credits

Written by:

Rev. Yemorini Mgallah, circa 1975.

External links