FANDOM

1,949,137 Pages

StarIconGreen
LangIcon
Kilichozaliwa Na Mungu

This song is by Kwaya Kuu Kikosi Cha Injili and appears on the album Wanangu Njoo Mnateswa (2016).

Kilichozaliwa na Mungu
Ni Uzao wa Mungu
Ni lazima kiushinde ulimwengu

Ni lazima: Kiushinde ulimwengu
Ni lazima: Kiushinde ulimwengu
Ni lazima: Kiushinde ulimwengu
Ni lazima: Kiushinde ulimwengu

Yesu Mwana wa Mungu
Ni uzao wa Mungu
Ni lazima ameshinda ulimwengu

Yesu yu ndani yetu
Ni uzao wa Mungu
Ni lazima tuushinde ulimwengu

Manabii na makuhani
Ni uzao wa Mungu
Ni lazima waushinde ulimwengu

Written by:

Rev. Yemorini Mgallah, 1988