FANDOM

1,999,154 Pages

StarIconGreen
LangIcon
Kama Lipo Kubwa

This song is by Kwaya Kuu Kikosi Cha Injili and appears on the album Wanangu Njoo Mnateswa (2016).

Kama lipo kubwa
Si kwa Mungu wetu
Na Mwokozi wetu, Yesu

Yesu aliteswa (sana)
Yesu alipigwa (sana)
Ili sote tukombolewe

Unalotakiwa
Ni kumfuata Yesu
Ili uyashinde makubwa

Anayetupenda
Bwana Mungu wetu
Na mwokozi wetu, Yesu

Credits

Written by:

Rev. Yemorini Mgallah, 25/12/1989.

External links