FANDOM

1,999,605 Pages

StarIconGreen
LangIcon
Jitukuze Kwangu Bwana

This song is by Kwaya Kuu Kikosi Cha Injili and appears on the album Wanangu Njoo Mnateswa (2016).

Ikiwa watu wa dunia
Wametukuka
Kwa maovu yao
Jitukuze kwangu Bwana

Sina mpenzi mwingine
Sina Mwokozi mwingine
Kwa hiyo
Jitukuze kwangu Bwana

Wanasiasa wa Uongo
Wametukuka
Na wauaji pia
Jitukuze kwangu Bwana

Wengi wao wamewaua
Wateule wako
Na sasa wanasifiwa
Jitukuze kwangu Bwana

Hitila muuaji
Ametukuka
Duniani pote
Jitukuze kwangu Bwana

Credits

Written by:

Rev. Yemorini Mgallah, circa 1975. See Psalms 94.

External links